Jumanne, 7 Juni 2016

NANI MBUNGE MREMBO MWENYE MVUTO 2014?


Urembo na mvuto kwenye macho ya binadamu huwezi kuvitenganisha. Wakati kule mjengoni Dodoma wakiendelea kupika bajeti ya serikali ya mwaka 2014/15, Over the Weekend tunakuletea Shindano la Nani Mbungwe Mrembo mwenye mvuto 2014? Ukiwa shabiki namba moja wa safu hii unapata nafasi ya kutuma jina au majina ya wabunge wanaostahili kuingia kwenye kinyang’anyiro hiki. Andika jina la mbunge husika kisha tuma kwenda namba 0713 750 910. Kazi ni kwako.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni