Urembo na mvuto kwenye macho ya binadamu huwezi kuvitenganisha. Wakati kule mjengoni Dodoma wakiendelea kupika bajeti ya serikali ya mwaka 2014/15, Over the Weekend tunakuletea Shindano la Nani Mbungwe Mrembo mwenye mvuto 2014? Ukiwa shabiki namba moja wa safu hii unapata nafasi ya kutuma jina au majina ya wabunge wanaostahili kuingia kwenye kinyang’anyiro hiki. Andika jina la mbunge husika kisha tuma kwenda namba 0713 750 910. Kazi ni kwako.
warembo
Jumanne, 7 Juni 2016
Faraja Kotta (amezaliwa 6 Mei 1985, Dar es Salaam) alikuwa mrembo wa Tanzania mwaka 2004.
Kotta ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanne. Elimu yake ya msingi aliipata katika shule ya msingi Olympio iliyopo jijini Dar es Salaam, baadae kujiunga na shule ya sekondari St Francis iliyoko mkoani Mbeya kisha kuendelea na elimu ya kidato cha 5 na 6 katika shule ya sekondari ya St Marys Mazinde Juu , iliyoko Lushoto, Tanga, Tanzania.

Historia ya Urembo
Kotta aliwahi kuwa "Miss Ubungo" na baadae kuwa "Miss Kinondoni", baada ya kuwa Miss Kinondoni akaja kuchaguliwa kuwa "Miss Tanzania" kwa mwaka wa 2004.Kazi Tofauti na Urembo
Kotta ni Mwachama wa "Youth Executive Committee" ambayo ipo chini ya Youth Net Tanzania, na pia ni Program Officer wa kipindi cha Njia Panda ambapo anafuatilia wale wananchi wanaojitokeza na matatizo na kuhakikisha wamesaidiwa na vipi wanaendelea.Maisha Binafsi
Faraja hivi karibuni tarehe 30 novemba 2007 amefunga ndoa na mbunge wa Singida mheshimiwa Lazaro Nyalandu.HEBU SIKIA HISTORIA HII FUPI YA MREMBO KOTTA
Faraja Kotta (amezaliwa 6 Mei 1985, Dar es Salaam) alikuwa mrembo wa Tanzania mwaka 2004.
Kotta ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanne. Elimu yake ya msingi aliipata katika shule ya msingi Olympio iliyopo jijini Dar es Salaam, baadae kujiunga na shule ya sekondari St Francis iliyoko mkoani Mbeya kisha kuendelea na elimu ya kidato cha 5 na 6 katika shule ya sekondari ya St Marys Mazinde Juu , iliyoko Lushoto, Tanga, Tanzania.
Historia ya Urembo
Kotta aliwahi kuwa "Miss Ubungo" na baadae kuwa "Miss Kinondoni", baada ya kuwa Miss Kinondoni akaja kuchaguliwa kuwa "Miss Tanzania" kwa mwaka wa 2004.Kazi Tofauti na Urembo
Kotta ni Mwachama wa "Youth Executive Committee" ambayo ipo chini ya Youth Net Tanzania, na pia ni Program Officer wa kipindi cha Njia Panda ambapo anafuatilia wale wananchi wanaojitokeza na matatizo na kuhakikisha wamesaidiwa na vipi wanaendelea.Maisha Binafsi
Faraja hivi karibuni tarehe 30 novemba 2007 amefunga ndoa na mbunge wa Singida mheshimiwa Lazaro Nyalandu.Warembo Ni Yes!
“I am writing to share with you an exciting initiative started by a group of young feminist activists in Kenya, called Warembo Ni Yes! All of the alumni of the Akina Mama wa Afrika/CREA Institute are a part of this initiative, so we can celebrate the bonds that were created in Uganda, the lessons we learnt, and the energy we left with. We are mobilising the power of young women to determine their future, by understanding their increased rights in the proposed Constitution of Kenya, and voting ‘yes’.”
—Zawadi Atieno Nyong'o, 7th Sense Communications, Kenya (participant, FLaMBI 2010)
Alumni of the Feminist Leadership, Movement Building, and Rights Institute—East Africa (formerly Feminist Leadership and Movement Building Institute) 2010 joined hands with other young feminist activists to begin a campaign in Kenya, Africa, called Warembo Ni Yes! to mobilise women to vote in support of Kenya’s new Constitution. Warembo Ni Yes! is “a movement of young and diverse women supporting the proposed Constitution of Kenya”. The members are non-partisan and from all walks of life. They represent different economic backgrounds, ethnicities, religious beliefs, sexual orientations, gender identities, races, and abilities.
The participants of Feminist Leadership, Movement Building, and Rights Institute—East Africa 2011 have decided to spread the Warembo Ni Yes! campaign throughout Africa to increase the political participation of young women.
The Warembo Girls Project (WGP)
The Warembo Girls Project offers young (teenage) mothers who live
on the streets with their child the possibility of making a future for
themselves and their child. There is a small Swahili house that is
rented where the mums and their children can live and receive guidance.
Here they’re able to follow a course in adult education for example in
hairdressing or clothes making, and where after a maximum period of 4
years enables them to be self- supporting and totally independent.
At the moment there are 2 mothers and their children being cared for in this project. Because of the volume of work at the other projects, (DCC and OBC), the Warembo Girls Project won’t be expanded any further.

KUMBE HATA BONGO KUNAWASICHANA WAREMBO, TAZAMA PICHA 29 ZA WAREMBO MISS TANZANIA 2013
September 05, 2013
KUMBE HATA BONGO KUNAWASICHANA WAREMBO, TAZAMA PICHA 29 ZA WAREMBO MISS TANZANIA 2013
CLARA BAYO.
ANASTAZIA DONALD.
DAYANA LAIZER.
DORICE MOLLEL.
ELIZABETH PERTY.
ESHYA RASHID.
GLORY STEPHEN.
HAPPINESS WATIMANYWA.
JACLINE LUVANDA.
JANETH AWET
JOYCE SHAYO
LATIFA MOHAMED
LINA ALLAN |
LUCY CHARLES
LUCY JAMES
LUCY TOMEKA
NACY MOSHI |
MIRIAM MANYANGANA
NARIETHA BONIFACE
NEEMA MALITI
NICE JACK HERMAN
PHILLIOS LEMI
PRISCA PAUL
SABRINA JUMA
SALSHA ISDORY
SARAH PAUL
SEVERINA LWINGA
SVETLANA NYAMEYO.
Credit:Bongoclan
Aisee hii ndio list ya Wanawake warembo zaidi Afrika, Mtanzania ni mmoja tu… picha zao wote ziko hapa
Jarida
la Glitz Afrika limetoa list yao ya Wanawake 20 wenye mvuto zaidi ndani
ya Afrika ambapo kwenye hii list yao ameonekana Mtanzania mmoja tu
ambapo millardayo.com imeipata list nzima na iko tayari kushea na wewe
kwa kuanza kutiririka hapa chini…
Huyu ni Millen Magesse ndiye mtanzania pekee aliyeingia kwenye list hiyo.
Huyu ni Millen Magesse ndiye mtanzania pekee aliyeingia kwenye list hiyo.
Huyu hapa chii ni Leila Lopes (Angola)
Huyu anaefata hapa chini ni Stephanie Linus (Nigeria)Babalwa “Barbz” Mneno (South Africa
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)