Jumatatu, 30 Mei 2016

UREMBO KITU MUHIMU.

chukueni mpya hii

Katika barua ya wazi iliyowekwa katika mtandao wa internet, kundi hilo la wa wataalamu wa afya 150 , wengi wao wakihusika na masuala ya bakteria amesema kitisho cha maambukizi kutokana na virusi vya Zika ni cha juu kabisa. Barua hiyo ilitumwa mwa Dr. Margaret Chan, mkurugenzi mkuu wa shirika la afya ulimwenguni WHO, na kushauri kuwa michezo hiyo, ambayo inatarajiwa kufanyika mjini Rio de Janeiro mwezi Agosti , ihamishiwe sehemu nyingine ama icheleweshwe.
nanai msomi duniani?

Jumatano, 11 Mei 2016