Jumanne, 7 Juni 2016

NANI MBUNGE MREMBO MWENYE MVUTO 2014?


Urembo na mvuto kwenye macho ya binadamu huwezi kuvitenganisha. Wakati kule mjengoni Dodoma wakiendelea kupika bajeti ya serikali ya mwaka 2014/15, Over the Weekend tunakuletea Shindano la Nani Mbungwe Mrembo mwenye mvuto 2014? Ukiwa shabiki namba moja wa safu hii unapata nafasi ya kutuma jina au majina ya wabunge wanaostahili kuingia kwenye kinyang’anyiro hiki. Andika jina la mbunge husika kisha tuma kwenda namba 0713 750 910. Kazi ni kwako.
Faraja Kotta (amezaliwa 6 Mei 1985, Dar es Salaam) alikuwa mrembo wa Tanzania mwaka 2004.
Kotta ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanne. Elimu yake ya msingi aliipata katika shule ya msingi Olympio iliyopo jijini Dar es Salaam, baadae kujiunga na shule ya sekondari St Francis iliyoko mkoani Mbeya kisha kuendelea na elimu ya kidato cha 5 na 6 katika shule ya sekondari ya St Marys Mazinde Juu , iliyoko Lushoto, Tanga, Tanzania.

Historia ya Urembo

Kotta aliwahi kuwa "Miss Ubungo" na baadae kuwa "Miss Kinondoni", baada ya kuwa Miss Kinondoni akaja kuchaguliwa kuwa "Miss Tanzania" kwa mwaka wa 2004.

Kazi Tofauti na Urembo

Kotta ni Mwachama wa "Youth Executive Committee" ambayo ipo chini ya Youth Net Tanzania, na pia ni Program Officer wa kipindi cha Njia Panda ambapo anafuatilia wale wananchi wanaojitokeza na matatizo na kuhakikisha wamesaidiwa na vipi wanaendelea.

Maisha Binafsi

Faraja hivi karibuni tarehe 30 novemba 2007 amefunga ndoa na mbunge wa Singida mheshimiwa Lazaro Nyalandu.

HEBU SIKIA HISTORIA HII FUPI YA MREMBO KOTTA



Faraja Kotta (amezaliwa 6 Mei 1985, Dar es Salaam) alikuwa mrembo wa Tanzania mwaka 2004.
Kotta ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanne. Elimu yake ya msingi aliipata katika shule ya msingi Olympio iliyopo jijini Dar es Salaam, baadae kujiunga na shule ya sekondari St Francis iliyoko mkoani Mbeya kisha kuendelea na elimu ya kidato cha 5 na 6 katika shule ya sekondari ya St Marys Mazinde Juu , iliyoko Lushoto, Tanga, Tanzania.

Historia ya Urembo

Kotta aliwahi kuwa "Miss Ubungo" na baadae kuwa "Miss Kinondoni", baada ya kuwa Miss Kinondoni akaja kuchaguliwa kuwa "Miss Tanzania" kwa mwaka wa 2004.

Kazi Tofauti na Urembo

Kotta ni Mwachama wa "Youth Executive Committee" ambayo ipo chini ya Youth Net Tanzania, na pia ni Program Officer wa kipindi cha Njia Panda ambapo anafuatilia wale wananchi wanaojitokeza na matatizo na kuhakikisha wamesaidiwa na vipi wanaendelea.

Maisha Binafsi

Faraja hivi karibuni tarehe 30 novemba 2007 amefunga ndoa na mbunge wa Singida mheshimiwa Lazaro Nyalandu.

Warembo Ni Yes!


WNY.jpg
“I am writing to share with you an exciting initiative started by a group of young feminist activists in Kenya, called Warembo Ni Yes! All of the alumni of the Akina Mama wa Afrika/CREA Institute are a part of this initiative, so we can celebrate the bonds that were created in Uganda, the lessons we learnt, and the energy we left with. We are mobilising the power of young women to determine their future, by understanding their increased rights in the proposed Constitution of Kenya, and voting ‘yes’.”
—Zawadi Atieno Nyong'o, 7th Sense Communications, Kenya (participant, FLaMBI 2010)

Alumni of the Feminist Leadership, Movement Building, and Rights Institute—East Africa (formerly Feminist Leadership and Movement Building Institute) 2010 joined hands with other young feminist activists to begin a campaign in Kenya, Africa, called Warembo Ni Yes! to mobilise women to vote in support of Kenya’s new Constitution. Warembo Ni Yes! is “a movement of young and diverse women supporting the proposed Constitution of Kenya”. The members are non-partisan and from all walks of life. They represent different economic backgrounds, ethnicities, religious beliefs, sexual orientations, gender identities, races, and abilities.

The participants of Feminist Leadership, Movement Building, and Rights Institute—East Africa 2011 have decided to spread the Warembo Ni Yes! campaign throughout Africa to increase the political participation of young women.

The Warembo Girls Project (WGP)

The Warembo Girls Project offers young (teenage) mothers who live on the streets with their child the possibility of making a future for themselves and their child. There is a small Swahili house  that is rented where the mums and their children can live and receive guidance. Here they’re able to follow a course in adult education for example in hairdressing or clothes making, and where after a maximum period of 4 years enables them to be self- supporting and totally independent.
At the moment there are 2 mothers and their children being cared for in this project.  Because of the volume of work at the other projects, (DCC and OBC), the Warembo  Girls Project won’t be expanded any further.

KUMBE HATA BONGO KUNAWASICHANA WAREMBO, TAZAMA PICHA 29 ZA WAREMBO MISS TANZANIA 2013

September 05, 2013

KUMBE HATA BONGO KUNAWASICHANA WAREMBO, TAZAMA PICHA 29 ZA WAREMBO MISS TANZANIA 2013


 
CLARA BAYO.
 
ALICE ISAACK.
 
ANASTAZIA DONALD.
 
DAYANA LAIZER.
 
DORICE MOLLEL.
 
ELIZABETH PERTY.
 
ESHYA RASHID.
 
GLORY STEPHEN.
 
HAPPINESS WATIMANYWA.
 
JACLINE LUVANDA.
 
JANETH AWET
 
JOYCE SHAYO
 
LATIFA MOHAMED
LINA ALLAN
LUCY CHARLES
 
LUCY JAMES
 
LUCY TOMEKA
NACY MOSHI
 
MARY CHEMPONDA
 
MIRIAM MANYANGANA
NARIETHA BONIFACE
 
NEEMA MALITI
 
NICE JACK HERMAN
 
PHILLIOS LEMI
PRISCA PAUL
 
SABRINA JUMA
 
SALSHA ISDORY
 
SARAH PAUL
 
SEVERINA LWINGA
 
SVETLANA NYAMEYO.
Credit:Bongoclan

Aisee hii ndio list ya Wanawake warembo zaidi Afrika, Mtanzania ni mmoja tu… picha zao wote ziko hapa


8bbf63d258dc11e3a8fb123eec3cbe7a_8Jarida la Glitz Afrika limetoa list yao ya Wanawake 20 wenye mvuto zaidi ndani ya Afrika ambapo kwenye hii list yao ameonekana Mtanzania mmoja tu ambapo millardayo.com imeipata list nzima na iko tayari kushea na wewe kwa kuanza kutiririka hapa chini…
1016709_10151457640881986_1642432610_nHuyu ni Millen Magesse ndiye mtanzania pekee aliyeingia kwenye list hiyo.
Huyu hapa chii ni Leila Lopes (Angola)
1
Huyu wa chini ni Vimbai Mutinhiri (Zimbabwe)
2
Huyu wa chini ni Oluchi Orlandi (Nigeria)
3Yvonne Nelson (Ghana) huyu hapa chini
4
Huyu hapa chini ni Dillish Mathews (Namibia)
5
Agbani Darego (Nigeria)
6
Tiwa Savage (Nigeria)
CaptureHuyu anaefata hapa chini ni Stephanie Linus (Nigeria)
1 stephanie
Genevieve Nnaji (Nigeria)
Genevieve Nnaji (Nigeria)
Joselyn Dumas (Ghana)
Joselyn Dumas (Ghana)
Yvonne Okoro (Ghana)
Yvonne Okoro (Ghana)
Jackie Appiah (Ghana)
Jackie Appiah (Ghana)
Omotola Jalade-Ekeinde (Nigeria)
Omotola Jalade-Ekeinde (Nigeria)
Zainab Sheriff (Sierra Leone)
Zainab Sheriff (Sierra Leone)
Naa Okailey Shooter (Ghana)
Naa Okailey Shooter (Ghana)
Nadia Buari (Ghana)
Nadia Buari (Ghana)
Lerato “Lira” Molapo (South Africa)
Lerato “Lira” Molapo (South Africa)
Babalwa “Barbz” Mneno (South Africa)Babalwa “Barbz” Mneno (South Africa
Elham Wagdi (Egypt)
Elham Wagdi (Egypt)